30 comments

  1. Safi sana fundi wangu nimekuelewa vizuri katika somo hili.ila na Mimi nna swali kuna bosi wangu kafungiwa soral lakini ile solar imekua ina tabia ya kukata moto usiku hapo shida itakuwa nn

  2. Nimeelewa somo
    Pannel 15 supply zitakua 3 n charge control 3. Swali je betri 3 kila sply n chage yke
    Au berti 1 unaloop

  3. Je kama nina solar mbili au zaidi naweza zifunga kwa pamoja na zikafanya kazi vizuri? Au watt znatakiwa kuwa sawa ndipo niziunge?

  4. Nina panel wats100 anitumie nyaya zenye uuwezo gani kufunga umeme pia nitumie charger control ya aina gani pia niwe na betri N ngapi?

  5. Aaah ahsante sana mkuu… Mm ninatumia pannel watt 50, nmeunganisha direct yaan, , pannel_bettert_matumizi, , je nakoseaa, , au charge control ni muhim sana au lazima kuitumiaa?

  6. Kwahio ticher hiyo charge of kotro kwahio inabadili umeme wa sola kua ac au inatumika to kucharge better…!!!?

Leave a comment

Your email address will not be published.